Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,964
Hahahahahaha...! bongo kila mtu Afisa Usalama.Hujatosheka kutazama unataka kuchimba chimba hadi matangazo yasitishwe?
Nafatilia michuano ya Afcon kwa ngazi ya vijana chini ya miaka 17 kupitia ZBC2 ndani ya king'muzi cha Azam Tv.
Wachambuzi wa ZBC2 ni wale wale niwaonao Azam two wakichambua La liga au VPL.
Je nani mmiliki wa ZBC2 kati ya Serikali ya Zanzibar au Said Salim Bakhresa?
utv ipo ktk ting na continental mkuuMimi naomba kujua Utv inapatikana king'amuzi gani?
jeff leah yupo na Clouds kumbe? Labda Clouds ya huko kwenu KiwiraWachambuzi wa masuala ya michezo mara nyingi wanakuwa sio waajiriwa wa kituo husika cha matangazo au mikataba yao itakuwa haiwabani kama atakuwa kaajiriwa ndo maana Jeff Lea utamwona azam tv, clouds na vituo vingine
Mimi naomba kujua Utv inapatikana king'amuzi gani?
Hii ni mali ya AZAM...na ndiyo inayotumiwa kusoma taarifa ya habari ya saa 2 usikuMimi naomba kujua Utv inapatikana king'amuzi gani?
Said a bakhresa ni mzenjbar zbc ya zenjbarnn unataka afcon au mmliki?Nafatilia michuano ya Afcon kwa ngazi ya vijana chini ya miaka 17 kupitia ZBC2 ndani ya king'muzi cha Azam Tv.
Wachambuzi wa ZBC2 ni wale wale niwaonao Azam two wakichambua La liga au VPL.
Je nani mmiliki wa ZBC2 kati ya Serikali ya Zanzibar au Said Salim Bakhresa?