Kamanda amata, ni moto wa kuotea mbali. Napenda ile combination yake na chiba(mzee wa IT), scoba(bwana usafiri), gina(reserved weapon, muke ya kamanda
) na jasmine(dokta), bila kumsahau madam S(bibi asiyezeeka).
Matumiz ya code mbalimbali kama 'mama anaumwa' au 'njoo shamba' yananikosha sana, vitu kama hivi ndio vinamtofautisha Mwamba Richard na waandishi wengine.
NAAMINI RICHARD S MWAMBE NDIO MWANDISHI BORA SANA WA RIWAYA ZA KIJASUSI ZA 'KIZAZI HIKI'.