Naona Unafananisha nguvu za kijeshi za Marekani na Tanzania,Dr Jose Chameleone ni another level wewe Diamond anasubiri na ataendelea kusubiri sana,iwe ni kumuziki au kifwedha. Hapa naona ni sawa na kumfananisha all time DeadBall specialist Juninho Pernambucano na wakina Beckam,C.Ronaldo et al.