πππ Angeisoma nambaMe ningemtoga HB mmoja matata sana hapa JF
Nishamjua na mie. We mnaniliu tu bana. ππππMi naogopa kumtaja ila mungu anamwona kwa kweli
Hakika. Cha zaidi utaliwa pesa tu Mkuu.Kama uchawi unafanya kazi ningewaroga ccm wote dadeki zao, lakini uchawi ni utapeli tu.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Sijui usha mjua[emoji79] [emoji79] [emoji79][emoji23][emoji23][emoji23] Angeisoma namba
Hahahaaa. Hapana mwaya mie upande wa kutabiri niko nyuma shoga.Sijui usha mjua[emoji79] [emoji79] [emoji79]
Wambie hao wengine wambe macho maana ninae taka kumtaja anampenzi hapa JF sasa naongopa kupopolewa shoga yangu upon vizuli kwenye michambo ili nijue nikilikoroga nasimamia kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaaa. Hapana mwaya mie upande wa kutabiri niko nyuma shoga.
[emoji101][emoji101][emoji101][emoji101] ninong'oneze naskiza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Basi mwaya mwenzio muoga hatari sababu kwenye kuchambwa huwa natetemeka huyooo. Nisije kupa wakati mgumu maana vidole vyaeza shindwa andika.Wambie hao wengine wambe macho maana ninae taka kumtaja anampenzi hapa JF sasa naongopa kupopolewa shoga yangu upon vizuli kwenye michambo ili nijue nikilikoroga nasimamia kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaaaa ntafutie bac hata shoga yako mmoja tu wa hum JF anaye weza hizi shughuriHahahaaa. Basi mwaya mwenzio muoga hatari sababu kwenye kuchambwa huwa natetemeka huyooo. Nisije kupa wakati mgumu maana vidole vyaeza shindwa andika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashoga zangu wote hakuna mwenye ubavu huo mwaya wako ka mie. πππHahahaaaa ntafutie bac hata shoga yako mmoja tu wa hum JF anaye weza hizi shughuri
hahaaaJike shupa. Huyo mwanaume kimbaombao anajitutumua, atapigwa hadi aombe poh!
Ukiona mwanamke kakurahisi, unakunja ngume naye anakunja, ujipange.
Njia za kuadabisha zipo nyingi, si lazima uitumie ya kupigana!