Nani kawahonga Mwakyembe, Masaju?

Ukitaka kuongoza watu kwanza ni hekima alafu vingine hufuata...ndomaana Ibrahim aliomba kwanza hekima sio ubabe ama kuogopwa!!
 
Ktk awamu zote 4 zilizopita hatujawahi kuwa na rais wa hovyo hovyo kama huyu wa awamu ya 5, na asiyejua nini maana ya uongozi, hiyo PhD yake sijui aliipataje !
Mkuu usiamini kuwa na PhD ndo kuwa kuweza uongozi. Kumbuka huyu PhD ameipata akiwa Waziri. Kama unavyojua vyuo vyetu, ukishakuwa kiongozi ukaamua kujiendeleza, hata kama huna substance kichwani watakubeba tu, wakati mwingine kwa kutoa mpunga ili ufaulu. Huyu wa kipindi hiki hana hekima wala busara, hiyo PhD yake isikutishe.
 
Huyu ni Nyaronyo Mwita Kicheeeereeeee,MaraaaaaaaaaM
 
IQ yako ni ndogo sana kiasi kwamba huwezi hata kutofautisha rais wa nchi na mwenyekiti wa chama. Hv huyo mbowe ana mamlaka gani hapa nchini hadi utake kumweka kwenye ulinganisho na Magufuli?? Au ww ndiyo wale ambao mmedumaa kiakili...?

acha utani hivi mbowe unaweza kumlinganisha ? hivi umekosa la kuongea? akili za mbowe zinawalaza na viatu, hebu kuwa na adabu wasikucheke
 
Subiri utakapokua Rais tukuone ubora wako,vinginevyo Rais aliyepo mwache afanye kazi yake, aliyevaa kiatu ndiye anajua kinapomumiza.Wewe km unaona uliopo ni udikteta tafuta nchi ya kwenda.
 
acha utani hivi mbowe unaweza kumlinganisha ? hivi umekosa la kuongea? akili za mbowe zinawalaza na viatu, hebu kuwa na adabu wasikucheke
Uandishi wako unatosha kuonesha kiasi cha ujinga wako
 
Umeandika mambo mengi weeee! Kumbe pumbaless namna hii kuhoji hela za rukuku ndani ya chama chako ndipo utaona na kujua maana ya "Dikteta" ndipo uje hapa tujadili udikteta wa mbowe na MAGUFULI anayetetea maslahi ya wanyonge
Nyambaaaf we!.
Tofautisha kati ya katiba ya chama na ya nchi! Ndiyo uropoke tens!
Chama kina weza kufa! Ila fikiria nchi ikifa nini hutokea?!
# ACHA UKILLAZA KWENYE MAMBO YA MSINGI!!
 
Tuambie Mwenyekiti wako MBOWE ana elimu gani na amesomea nini? Ukitujibu hili basi na wewe ni miongoni mwa MASHUJAA JF!
 
IQ yako ni ndogo sana kiasi kwamba huwezi hata kutofautisha rais wa nchi na mwenyekiti wa chama. Hv huyo mbowe ana mamlaka gani hapa nchini hadi utake kumweka kwenye ulinganisho na Magufuli?? Au ww ndiyo wale ambao mmedumaa kiakili...?
Bela umtukane mtu yeyote wa CHADEMA tusi lolote ila ukihoji hela za ruzuku siyo makada au vijana matokeo yake ni matusi kama haya
 
Mkuu taifa lilipofikia hayo uliyo yaandika watayaita uchochezi.na wengine watayakana kua hajasemwa na mtukufu asiyejalibiwa.ngoja tusubiri

unatupotezea muda kumbe umeandika uchochezi!!! mwambie aliyekutuma ikulu atapasikia kwa ndoto!!!
 
Ebu tuwekee CV za MBOWE hapa!

we simon , unawezaje kumwita rais hovyo??? mjinga kabisa wewe!! ndivyo unavyofundishwa na wazazi wako kuwatukana wakubwa? padri au askofu au shem ndiye kakufundisha hivyo??? umelaniwa wewe na Nyumba yako!;
 
Mbowe ni mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa kama Magufuli alivyo mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa kwa ni magufuli kafanyia nini nchi hii Zaidi ya kula mishahara miaka ishirini si bora hata Mbowe kajenga demokrasia ya vyama vingi

mbowe kajenga demikrasia gani ndani ya chama chake?? acha uongo wewe!!
 
we simon , unawezaje kumwita rais hovyo??? mjinga kabisa wewe!! ndivyo unavyofundishwa na wazazi wako kuwatukana wakubwa? padri au askofu au shem ndiye kakufundisha hivyo??? umelaniwa wewe na Nyumba yako!;

samahani Simon siyo wewe ukiyemtukana rais ,ni huyu mjinga gemmanuel265!!
 
Ndugu Mwanahabari huru usitende dhambi kwa maneno, Mwakyembe na
Masaju wala hawajahongwa hata kidogo, naamini wao kama watanzania wengine wamepigwa na butwaa na ganzi kwa mambo yanayoendelea, ganzi ikiisha kitaeleweka, hatujawahi kuona stylo hii ya uongozi hata kidogo, kiongozi anayegombana na raia wake kila anapozungumza! Mwalimu Nyerere must be turning in his grave! God save our mother Tanzania.
 
we simon , unawezaje kumwita rais hovyo??? mjinga kabisa wewe!! ndivyo unavyofundishwa na wazazi wako kuwatukana wakubwa? padri au askofu au shem ndiye kakufundisha hivyo??? umelaniwa wewe na Nyumba yako!;
Mkuu! Umejichanganya kunitukana ni wapi nimemwita Rais ovyo au unachanganya mambo kwenye hii mada! Kasome vizuri mtu aliyemtusi Rais yuko hapo amebunda kama bundi. Mimi Niko bega kwa bega na RAIS wetu katika kupambana na hili genge la walowezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…