F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Feb 16, 2014 #1 How many likes kwa huyu mama? Attachments 1392545496119.jpg 54 KB · Views: 371
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Feb 16, 2014 #2 Hakuna kama mama. Amin amin amin.....nakupenda sana mama yangu
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Feb 16, 2014 Thread starter #3 utafiti said: Hakuna kama mama. Amin amin amin.....nakupenda sana mama yangu Click to expand... Nae mapenzi anayokupenda hayana mfano.....
utafiti said: Hakuna kama mama. Amin amin amin.....nakupenda sana mama yangu Click to expand... Nae mapenzi anayokupenda hayana mfano.....
jackson mushy Member Joined Nov 28, 2013 Posts 23 Reaction score 1 Feb 16, 2014 #4 Kweli hakuna kama mama hapa duniani
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Feb 16, 2014 Thread starter #5 jackson mushy said: Kweli hakuna kama mama hapa duniani Click to expand... True....ukikumbuka those sleepless night alizokua nazo wakati wewe ukiwa mgonjwa na jinsi alivokua akikosa amani.....kwa kweli mungu awape kila aina ya baraka mama zetu
jackson mushy said: Kweli hakuna kama mama hapa duniani Click to expand... True....ukikumbuka those sleepless night alizokua nazo wakati wewe ukiwa mgonjwa na jinsi alivokua akikosa amani.....kwa kweli mungu awape kila aina ya baraka mama zetu
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Feb 17, 2014 #6 farkhina said: How many likes kwa huyu mama? Click to expand... Baba anafuatilia nyuma kilo mita 3.