Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,613
- 2,258
Asante mkuuBaba ni mwalimu
Mama ni mwanafunzi
Mwalimu anafundisha na kuelewa masomo machache
Mwanafunzi anasoma na kuelewa masomo yote
Baada ya muda wanafunzi huwa na maisha mazuri kushinda walimu wao..
Waheshimu Baba na Mama yako
Inafikirisha sana.Mother's day utawaona wanapost miphoto na mama zao, siku ya fathers day huwasiki hata kutoa hongera. Mama akifariki familia utaiona bado ipo imara lakini baba akifariki utaiona familia inavyo anguka. Baba ni kisiki cha mpingo, ukikubali au ukikataa hio ni hali halisi.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Naam, Babaaa!?baba baba baba.....
Weka tujadili.Kwa wengine tuna stori tofauti kabisa
hapo ndipo tulipomezwa, mkuu.ukitaka kujua umuhim wa baba kweny famly.. uliza single mother
asikwambie mtu baba ndio kila kitu kwenye family baba akiwa vizr family yte itakuwa vizr
iyo furaha watoto wanayoipata kwa mama mpaka kusema mama ni bora kuliko baba inaanzia kwa baba yan baba anawapa watoto furaha kupitia mama tu
Baba nishike mkono.mama ako sio ndugu yako,baba ako ndo mchizi wako
ubarikiwe mkuu, na hilo la kuchepuka ongea na kaka atakuelewa tu.Ni kweli, hakuna mwanamke mjanja mbele ya mwanaume. Ulishawah jiuliza hii dunia tungeishi wanawake tupu tungekuaje.
Wakina baba wana roho nzuri SNA tatizo lao moja tu kuchepuka kwenye ndoa zao.
Sisi wanawake hata tuwe na mil5 kwenye pochi na bado utamwomba mwanaume pesa ya matumiz na atakupa kiroho safi.
Ila muombe mwanamke hela hats 400 ya daladala kila MTU atajua.
Nawapenda SNA wakina baba, hasa mume wangu wanamchango mkubwa SNA kwenye familia tofauti na mama.
Anaondoka hajielewi,akirudi kishajifunza.Wamama wanajifariji tu lakini steringi wa yote ndio sie kinababa. Wanazunguuka weee kisha wanarudi.