Kuna wimbo mmoja wa zamani kidogo najaribu kuvuta kumbukumbu ya jina lake bila mafanikio. Ila bahati nzuri ninakumbuka baadhi ya mashairi yake (nadhani unamuhusu kinyonga ama chura-not sure);
"Mbona yeye hana mbawa,
anakula kwa ulimi wakeeeee, sembuse mimi mwanadamuuuu....."
Tafadhali wadau wa miziki mizuri naombeni sana jina la kibao hiki na kimepigwa na mwanamuziki gani. (tukiweza ku-upload hapa jukwaani itakuwa ni vyema sana). Waiting to hear from you!!!!!!!
Huo wimbo unaitwa MAZOEA YANANIKONDESHA, bendi iliyopiga wimbo huo inaitwa MZINGA TROUPE (kama sijakosea) ila mwanamuziki aliyeimba wimbo huo jina lake limenitoka kidogo na pia tayari ameshatangulia mbele ya haki.

Taratibuuu....kama hataki vile daah kweli wazee walifaidi.Ngoja sisi tupambane na ''Mtoto ndindii..nikampakia na mgando ....sijui amenasa chambo''