Kitendo cha wewe kupakua tuu anapata pesa, then hizo apps zinakuwa na matangazo so anapata pesa pia. Kwa jinsi ninavyoelewa mkuuMkuu nisaidie kidogo, binafsi ni kila.za katika sekta hizo.. Hivi hio game inamlipa vipi mtengenezaji hali ya kua tunadownload free on playstore
Pale unapodownload si unatumia MBs??.. Hizo mb si unanunua?? Utasemaje unadownload bureeHapo kidogo kwenye matangazo naweza nikakubali,
Turudi hapo kwenye kudownload, kwa nn yy afaidike ilhali wewe unachukua bure...
Natanguliza shukran mkuu
mkuu hizo MBs unzotumia ndo zabadiliswa kua pesa.. so kuna asilimia za mgawanyo wa hiyo pesa kwa kila mhusika,, ( mmiliki w game/ nyimbo, mtandao_ _ _)Hapo kidogo kwenye matangazo naweza nikakubali,
Turudi hapo kwenye kudownload, kwa nn yy afaidike ilhali wewe unachukua bure...
Natanguliza shukran mkuu
Mjomba hapo umeua (mb kua pesa)... Kama ni ivo wanapiga faidamkuu hizo MBs unzotumia ndo zabadiliswa kua pesa.. so kuna asilimia za mgawanyo wa hiyo pesa kwa kila mhusika,, ( mmiliki w game/ nyimbo, mtandao_ _ _)
Sio kweli kwamba anapata share kutoka kwenye mbs mkuu.Mjomba hapo umeua (mb kua pesa)... Kama ni ivo wanapiga faida
Asante kwa somo, nadhan nitapitia zaid mitandaoni kupata elimu ya nyongeza..
Wako mtiifu
Ki.laza
Sasa hapo ndo naweza nikakubali ,basi ndo mana kuna game ukicheza kidogo unaletewa matangazo mara kupatana, mara speed booster mara amazon... Asante kwa somoSio kweli kwamba anapata share kutoka kwenye mbs mkuu.
Pesa anapata kutoka kwenye matangazo na within purchases kama game lina hiyo kitu. Mfano magame flani unadownload bure ila wakati ukicheza labda itabidi utumie siraha flani kwenye misheni flani, so mtu ananunua kwa kutunia card yake ya bank.
Mbs za kampuni ni mali ya service provider hawashare na hao wenye application.