Nani Kafunika

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Wageni waalikwa Viongozi wa serikali na wadau mbalimbali wakibadilishana mawazo pamoja na kupata futari iliyoandaliwa na benki kuu Tanzania(BOT) kama sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya kuanzishwa kwa benki hiyo.
 
Huwa sipendi picha za wakati wa maakuli maana uso unakuwa unazungushwa na mdomo juu chini kulia kushoto. ... sasa hujui camera itapiga wakati uso umeviringwa upande gani.

Hapo nimewaona wanikulu wawili...
wanikulu huwa hawajificha saaana hasa wa siku hizi
 
Huwa sipendi picha za wakati wa maakuli maana uso unakuwa unazungushwa na mdomo juu chini kulia kushoto. ... sasa hujui camera itapiga wakati uso umeviringwa upande gani.

Hapo nimewaona wanikulu wawili...
Your honor wee mstaarabu kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…