Nani kabakwa nanyan?

Status
Not open for further replies.
jaman watoto tunawapenda lakini hapa sio mahali penu........subirin bas angalau mtimize miaka 18.

Mnawasingizia watoto bure....
Kijana wangu wa miaka kumi haandiki haya majangoo....
 
Hahaha bora wahonge kuliko kulipa ada? Yaani na Bible inasema 'mwana -------- ni mzigo wa mamaye'; mbona tuna kazi sie?
nimesisimka hadi nywele hkyanani JK achape bakora walimu!!! Apo mzazi unaumiza kichwa mambo yenyewe haya aisee acha tuu wababa wahonge ! Mara mia kuliko
 
Dar es Salaam. Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

Hayo yamebainishwa na ripoti iliyotolewa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Uwezo Tanzania (Twaweza), iliyofanya utafiti nchi nzima kupima uwezo wa wanafunzi wa shule za msingi wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK).


http://www.mwananchi.co.tz/habari/K...pili/-/1597296/2116712/-/jgnss0z/-/index.html

Ingekuwa unaongea tungesema unanena kwa lugha!! Saaasa daaah!!ndio umeandika nini sasa?!hebu wewe mwenyewe jaribu kusomA ukielewa utuambie.!mkuu kwani kabla ya kulala ulikunywa pombe gani
 
Kumbe kuraan ni rahisi kusoma.niliamini ni ngumu kusoma quraan kumbe kuna vigumu zaidi.
 
kudadeki dogoniliyemuachia cm usiku kaniharibia samahanini jaman wanajamii siokosalake kosalangukumuachia cm sisamehen bureee
 
dogo niliyemuachia cm alikutamlango waz nakuanzakuandika madudu yake anayoyajua nisamehen nikosalangu kumuachia sim
 
dogo niliyemuachia cm alikutamlango waz nakuanzakuandika madudu yake anayoyajua nisamehen nikosalangu kumuachia sim
siku nyingine umwambie asiwe anaingia chumbani kwake bila kujua kuwa ni chumbani kwake!
halafu mwambie pia haitwi dogo.
sawa eeenh!
 
nimesisimka hadi nywele hkyanani JK achape bakora walimu!!! Apo mzazi unaumiza kichwa mambo yenyewe haya aisee acha tuu wababa wahonge ! Mara mia kuliko

JACK MTEMBEZI huyu huyu anayefaulisha sikukuu ya Muungano?
hahahahahhahaha aaanze yeye kulala chini kwanza!
 

We mtoto upo darasa la ngapi? Mwalimu wako wa mwandiko anaitwa nani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…