Wenyeji ni waarabu!! na robo tatu ya waarabu rangi ni weusi.....!! Hakuna tajiri kwa maana ya utajiri, wengi ni wafanyabiashara!! Zaidi ya habari Zanzibar akuna ubaguzi kama ilvyo bara!! Bara mnabaguana sana...... (pinga nikutibitishie) !
kumbuka inaposemwa zanzibar maana yake ni pemba na unguja, sasa sijui kama unajua vizuri mahusiano ya wapemba na waunguja! na bahati nzuri ni jana tu bungeni niliona kwenye tv wabunge kutoka zanzibar wakichambana kuhusu ubaguzi wa ajira na scholarship kwa misingi ya upemba na uunguja!Wenyeji ni waarabu!! na robo tatu ya waarabu rangi ni weusi.....!! Hakuna tajiri kwa maana ya utajiri, wengi ni wafanyabiashara!! Zaidi ya habari Zanzibar akuna ubaguzi kama ilvyo bara!! Bara mnabaguana sana...... (pinga nikutibitishie) !
Wenyeji ni waarabu!! na robo tatu ya waarabu rangi ni weusi.....!! Hakuna tajiri kwa maana ya utajiri, wengi ni wafanyabiashara!! Zaidi ya habari Zanzibar akuna ubaguzi kama ilvyo bara!! Bara mnabaguana sana...... (pinga nikutibitishie) !
Wenyeji ni waarabu!! na robo tatu ya waarabu rangi ni weusi.....!! Hakuna tajiri kwa maana ya utajiri, wengi ni wafanyabiashara!! Zaidi ya habari Zanzibar akuna ubaguzi kama ilvyo bara!! Bara mnabaguana sana...... (pinga nikutibitishie) !
Bila Kuwapotezea Muda wenu Muhimu sana. Naomba Kuelimishwa kidogo Juu ya watu asilia wa Zanzibar ni Makabila au kabila gani? Ama Asili yao hasa ni wapi?
Kisha napenda kufahamu, kwann Wazanzibar Weusi wengi ni Masikini, wakati weupe wengi wenye asili kama ya kiarabu ni Matajiri?
Naomba Kuwasilisha.
Wenyeji ni Wahadimu na Watumbatu (Weusi) na Washirazi (Wenye asili ya Kiarabu).
Na wanyarwanda na waganda.(Okelo)
Wenyeji wa huko wanaitwa waisilamu na kabila zao zinaitwa uisilamu
Rangi zao zinaitwa isilamu
Na kuhusu umassikini
Sijawahi sikia hifadhi ya taifa inapeleka mahindi ya misaada huko
Ilaamaeneo mengi ya Dodoma Singida na Shinyangaa huko kuna matajiri wengi wanapelekewa mahindi ya misaada kila wakati
Kwa taarifa yako leo kuna Ng'ombe wangu kafaa nilitaka kuzika mzogaa wamegawanaa
wafalatia kibaao majirani mpaka mchunfaji wa kanisa kapewa
Hawandio mssikinii
Wenyeji ni waarabu!! na robo tatu ya waarabu rangi ni weusi.....!! Hakuna tajiri kwa maana ya utajiri, wengi ni wafanyabiashara!! Zaidi ya habari Zanzibar akuna ubaguzi kama ilvyo bara!! Bara mnabaguana sana...... (pinga nikutibitishie) !
Wenyeji ni Wahadimu na Watumbatu (Weusi) na Washirazi (Wenye asili ya Kiarabu).
Mkuu, mbona nasikia hata huku kuna makabila yalikwenda huko kutafuta riziki kisha wakaweka makazi?
Mbona nimesikia wenyeji hasa pale ni watu toka Mbeya na wamakonde? Ambao walifika huko ktk kutafuta Maisha???? Wararabu wakawakuta huko ndipo muingiliano ulipoanza?
Waarabu wamefika Zanzibar kabla ya makabila ya kutoka bara hayajaanza kwenda huko, Wareno walifika Zanzibar miaka ya 1400 na tayari walikuta kuna waarabu Zanzibar.