Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Kwanza kabisa nianze kwa kuhisifia dstv kwa huduma nzuri pale unapo subscribe your account.picture ni clear,programs full HD.balaa linaanza kifurushi chako kinapoisha,licha ya maelekezo mazuri ya tcra kwa wahusika wa vinga'muzi kuwa channel 6 ni bure hata Kama mteja hajalipia!baadhi ya makampuni ikiwemo dstv wamekaidi agizo Hilo nakuendelea kutunyanyasa sisi wateja wake!kama vile mamlaka husika haina meno,au Kuna kigogo mzito nyuma ya dstv,course several times kwa masikio yangu,nimesikia mkurugenzi was tcra akipiga bit Kali na fine juu ila wapi.hivyo Basi niiombe mmalaka za juu kuliko tcr walivalie njuga hili swala.sababu ni Haki yetu kupata local channels bure kwenye ardhi.tunalipa pesa mingi kwa ajili ya channel za nje lakini siyo Hali kabisa hata kwa itv au tbc zinazoendeshwa na watanzania wenzetu?siyo Haki kabisa
Dstv haiko kwenye list ya hivyo ving'amuzi unavyotaka ww, bure ziko star times, continental, Ting nk. Mkuu kama unataka vya bure hamia kwenye hivyo ving'amuzi tuachie Dstv yetu. Pambana na hali yakoKwanza kabisa nianze kwa kuhisifia dstv kwa huduma nzuri pale unapo subscribe your account.picture ni clear,programs full HD.balaa linaanza kifurushi chako kinapoisha,licha ya maelekezo mazuri ya tcra kea wahusika wa vinga'muzi kuwa channel 6 ni bure hata Kama mteja hajalipia!baadhi ya makampuni ikiwemo dastv wamekaidi agizo Hilo nakuendelea kutunyanyasa sisi wateja wake!kama vile mamlaka husika haina meno,au Kuna kigogo mzito nyuma ya dastv,course several times kwa masikio yangu,nimesikia mkurugenzi was tcra akipiga bit Kali na fine juu ila wapi.hivyo Basi niiombe mmalaka za juu kuliko tcr walivalie njuga hili swala.sababu ni Haki yetu kupata local channels bure kwenye ardhi.tunalipa pesa mingi kwa ajili ya channel za nje lakini siyo Hali kabisa hata kwa itv au tbc zinazoendeshwa na watanzania wenzetu?siyo Haki kabisa
Dstv haiko kwenye list ya hivyo ving'amuzi unavyotaka ww, bure ziko star times, continental, Ting nk. Mkuu kama unataka vya bure hamia kwenye hivyo ving'amuzi tuachie Dstv yetu. Pambana na hali yako
Huijui hiyo kanuni ya kuonyesha bure ilivyo ndio maana unawalalamikia dstv.
mimi ni mmoja wapo nisiye ijua kanuni hiyo mkuu,naomba unijuze maana nakwazika na king'amuzi cha startimes... kama mtoa mada alivyolalama.....
Pole baba mwenzako mwaka 15 huu, niko huko tena na ving'amuzi mpaka mahawala zangu. Sasa wewe hivi tu vya promotion mpaka elfu 19 kwa mwezi, bado unataka cha bure pole sana.Kwanza kabisa nianze kwa kuhisifia dstv kwa huduma nzuri pale unapo subscribe your account.picture ni clear,programs full HD.balaa linaanza kifurushi chako kinapoisha,licha ya maelekezo mazuri ya tcra kea wahusika wa vinga'muzi kuwa channel 6 ni bure hata Kama mteja hajalipia!baadhi ya makampuni ikiwemo dastv wamekaidi agizo Hilo nakuendelea kutunyanyasa sisi wateja wake!kama vile mamlaka husika haina meno,au Kuna kigogo mzito nyuma ya dastv,course several times kwa masikio yangu,nimesikia mkurugenzi was tcra akipiga bit Kali na fine juu ila wapi.hivyo Basi niiombe mmalaka za juu kuliko tcr walivalie njuga hili swala.sababu ni Haki yetu kupata local channels bure kwenye ardhi.tunalipa pesa mingi kwa ajili ya channel za nje lakini siyo Hali kabisa hata kwa itv au tbc zinazoendeshwa na watanzania wenzetu?siyo Haki kabisa
Ni soko huria, kama hauwezi lipia hiyo startimes, ukiona bei ni ngumu zima T.V sikiliza radio. Ifike wakati kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.Halafu Eti IDX mpaka ulipie 84 elfu wkt Star times ni 28
Kutokujua tu mapema
DSTV ni jipuuu
Hata kama Eti sijui hawapo kwenye vya bure kwani wao akina Nani...bwana Beiiii kama ndani kuna keki
Mkuu bei zao zinaendana na huduma,,,huwezi lipia king'amuzi chao na ujuteHalafu Eti IDX mpaka ulipie 84 elfu wkt Star times ni 28
Kutokujua tu mapema
DSTV ni jipuuu
Hata kama Eti sijui hawapo kwenye vya bure kwani wao akina Nani...bwana Beiiii kama ndani kuna keki
Umasikini unakusumbua mkuuHalafu Eti IDX mpaka ulipie 84 elfu wkt Star times ni 28
Kutokujua tu mapema
DSTV ni jipuuu
Hata kama Eti sijui hawapo kwenye vya bure kwani wao akina Nani...bwana Beiiii kama ndani kuna keki
mkuu Edit Edit Edit kisha post uziKwanza kabisa nianze kwa kuhisifia dstv kwa huduma nzuri pale unapo subscribe your account.picture ni clear,programs full HD.balaa linaanza kifurushi chako kinapoisha,licha ya maelekezo mazuri ya tcra kea wahusika wa vinga'muzi kuwa channel 6 ni bure hata Kama mteja hajalipia!baadhi ya makampuni ikiwemo dastv wamekaidi agizo Hilo nakuendelea kutunyanyasa sisi wateja wake!kama vile mamlaka husika haina meno,au Kuna kigogo mzito nyuma ya dastv,course several times kwa masikio yangu,nimesikia mkurugenzi was tcra akipiga bit Kali na fine juu ila wapi.hivyo Basi niiombe mmalaka za juu kuliko tcr walivalie njuga hili swala.sababu ni Haki yetu kupata local channels bure kwenye ardhi.tunalipa pesa mingi kwa ajili ya channel za nje lakini siyo Hali kabisa hata kwa itv au tbc zinazoendeshwa na watanzania wenzetu?siyo Haki kabisa