VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Mwanzoni kabisa mwa Serikali ya awamu ya tano,Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa alitembea na kuzungumza na wahusika wa Mradi wa Mabasi ya kasi Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine,WM Majaliwa aliagiza mradi huo kuanza mara moja.
Sasa ni miezi kadhaa imepita bila utekelezwaji wa agizo la WM Majaliwa. Kuna ukimya usio wa kawaida juu ya mradi mzima. Nani hakumtii WM Majaliwa? Ameachwaje hivi hivi tu? Gross insubordination!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam