Ikiwa draw ya clab bingwa ulaya imepangwa leo....iko hv Buyern v Real Madrid na Chelsea v Atletico Madrid......Je unafikiri timu gani itaibuka kuwa bingwa kati ya hizo.
Ikiwa draw ya clab bingwa ulaya imepangwa leo....iko hv Buyern v Real Madrid na Chelsea v Atletico Madrid......Je unafikiri timu gani itaibuka kuwa bingwa kati ya hizo.
Musikasirike ila kama ningekuwa mtabiri ningewambia watu atletico madrid mwaka wao
kwa nini?
bayan munich na atletico they both have fighting skills but a.madrid got something more...wana njaa na kombe hili,hii itawafanya wapigane kufa na kupona