Nani atawaruhusu CHADEMA kukesha?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Nimesikia Mbowe akisema kwamba Wananchi wakishapiga kura wasiondoke na wakeshe hapo hapo!

Sasa swali langu ni Je, ni nani atawaruhusu kufanya hivyo, wakati kuna sheria ya nchi inayokataza kukusanyika bila ya kibali halafu isitoshe usiku kucha?

Je huku siyo kutafuta shari pasipo hata na sababu? Kama hamna Imani na Tume yetu ya uchaguzi ni kwanini hata mnaingia basi kwenye uchaguzi?
 

Mbowe hawatakii mema watanzania kwa ulaghai wake. Mtu ameuza hadi chama unadhani ana uchungu na roho za watanzania huyu,!?
 
Matokeo yatabandikwa kituoni.

TUME YA UCHAGUZI.
 
Matokeo yatabandikwa kituoni.

TUME YA UCHAGUZI.


Tukakeshe wapi rafiki yangu unajielewa?
Fanya mpango mapema maana siku zinayoyoma,tukishapiga kura wanawake nyumbani kupika wanaume mnabaki kulinda kura.
Msosi tunawaletea hukohuko vituoni.


Nilichomaanisha ni kwamba hatuondoki mpaka tuhakikishe matokeo yamebandikwa kituoni.

That's That.
 
Kukesha kulida kura ni muhimu sana, maana hadi sasa naona mbinu zao zinagoma na wanahaha ile mbaya.
 
Kwa hali ya ujambazi wa kura waliyonayo ccm hatutaondoka mpaka matokeo yajulikane.
 
Kukesha kawaida sisi back 2010 tulikesha kusubiri matokeo ya mbunge wetu Peter msigwa na virungu hatukupigwa ........mwaka huu mkesha unaanza tar 24 mpaka matokeo ya kipenzi cha wengi edo yatakavyotangazwa
 

SHeria gani inasema hivyo?
 
sioni sababu ya jeshi la polis kutumia nguvu kwa watu watu walioamua kukesha kusubiri matokeo ya uchaguzi.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…