WatotoApp Member Joined Oct 30, 2017 Posts 13 Reaction score 1 Jan 13, 2018 #1 Tumetengeneza App kwa ajili ya Watoto inayoitwa WatotoApp, ambayo kupitia hiyo watoto watakuwa wanapata hadithi. Kwa sasa, hadithi zilizopo ni kwa ajili ya Watoto wa miaka 8 - 12. Kama ungependa kupata app hiyo, basi unaweza kuipata app hiyo katika PlayStore kupitia link hii: play.google.com/store/apps/details?id=com.watotoappgmail.watotoapp2
Tumetengeneza App kwa ajili ya Watoto inayoitwa WatotoApp, ambayo kupitia hiyo watoto watakuwa wanapata hadithi. Kwa sasa, hadithi zilizopo ni kwa ajili ya Watoto wa miaka 8 - 12. Kama ungependa kupata app hiyo, basi unaweza kuipata app hiyo katika PlayStore kupitia link hii: play.google.com/store/apps/details?id=com.watotoappgmail.watotoapp2
Gwangzu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2017 Posts 2,457 Reaction score 3,819 Jan 13, 2018 #2 Link yenyewe uchwara tu
WatotoApp Member Joined Oct 30, 2017 Posts 13 Reaction score 1 Jan 13, 2018 Thread starter #3 Pyongyang1 said: Link yenyewe uchwara tu Click to expand... Kaka, inapatikana Play Store, kwa jina la WatotoApp
Pyongyang1 said: Link yenyewe uchwara tu Click to expand... Kaka, inapatikana Play Store, kwa jina la WatotoApp
Gwangzu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2017 Posts 2,457 Reaction score 3,819 Jan 13, 2018 #4 Ngoja niicheki mkuu kisha nikupe nyota zote
WatotoApp Member Joined Oct 30, 2017 Posts 13 Reaction score 1 Jan 13, 2018 Thread starter #5 Pyongyang1 said: Ngoja niicheki mkuu kisha nikupe nyota zote Click to expand... Poa kaka.