Kurutamjanja
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 396
- 377
Siku Chache zilizopita mitaani kulikuwa na kelele za nyimbo Wacha Waisome namba eee, nyimbo hizi zilikuwa zinzchagiza katika kampeni za chama tawala. Na kweli kwenye uchaguzi CCM imeshinda tutaketusitake. Sasa suala linakuja katika Utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli na kwa hotuba zake, hapa nani anayeisoma namba kwa sasa? Je ni wapinzani au watendaji wa Seikali ya CCM? Nawasilisha.
IQ ni 0
UKAWA ndio wanaoisoma namba..Raisi wao wa UKAWA kila siku alikuwa anaishi katika ndege na msafara kibao?Upendeleo ulikuwa ndio mfumo wa UKAWA?matusi na dharau zilikuwa ndio tabia yao..Naipongeza CCM kwa kuitoa madarakani serikali dhalimu ya UKAWA?Viva CCM
UKAWA ndio wanaoisoma namba..Raisi wao wa UKAWA kila siku alikuwa anaishi katika ndege na msafara kibao?Upendeleo ulikuwa ndio mfumo wa UKAWA?matusi na dharau zilikuwa ndio tabia yao..Naipongeza CCM kwa kuitoa madarakani serikali dhalimu ya UKAWA?Viva CCM
IQ ni 0
IQ ni 0
Hilo ni dingo kwa ccm, we we ndo IQ 0 kama umeshindwa kumuelewa hiyo jamaa.
Si kwa wizi? msingeiba muone kama mlikuwa hamn'goki mwaka huu shenzi nyie
Siku Chache zilizopita mitaani kulikuwa na kelele za nyimbo Wacha Waisome namba eee, nyimbo hizi zilikuwa zinachagiza katika kampeni za chama tawala. Na kweli kwenye uchaguzi CCM imeshinda tutake tusitake. Sasa suala linakuja katika Utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli na kwa hotuba zake, hapa nani anayeisoma namba kwa sasa? Je ni wapinzani au watendaji wa Serikali ya CCM?
Nawasilisha
UKAWA ndio wanaoisoma namba..Raisi wao wa UKAWA kila siku alikuwa anaishi katika ndege na msafara kibao…Upendeleo ulikuwa ndio mfumo wa UKAWA…matusi na dharau zilikuwa ndio tabia yao..Naipongeza CCM kwa kuitoa madarakani serikali dhalimu ya UKAWA…Viva CCM
Kuna mtu atakuwa alishaenda China kununua wino wa kuweka maandishi kwenye fulana za watoto wa halaiki.
Wanajuuuuuta kumfanyia kampeni. Mchimba kaburi kaingia mwenyewe
jamaa wanajuuuuuuta kumpigia JPM kampeni, maana wanaisoma namba kisawa sawa