Wanaoongoza ni securities na trustee mbalimbali za marekani, kama huku kwetu serikali inavyokopa/kuchukua NSSF, PPF, GEPF, LAPF etc... China yeye ni wa pili. Lakini kwa mdororo huu wa uchumi wa EU na US, muda si mrefu China ataongoza, kwani huwezi kuendelea kukopa 'ndani' kuna limitations zake kwa swala zima la ukuaji wa uchumi wa nchi....