Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Ok shukrani lakini sasa hapo huoni unakiuka msimamo wa chamachako? Na huo msimamo wako si ndio ule wa ‘mkataba' wa Maalim.?Mimi nnapendelea kila nchi iwe na himaya yake kamili, kila mmoja afahamu mipaka yake, utaifa wake, uzalendo wake, haki zake, mapato yake, tamaduni zake. Si kulazimishana.
Ningependela Serikali mbili zenye mkataba wa Muungano.
Ok vizuri sana ukhti sasa hapo si utakuwa kinyume na chama chako? Kwa hiyo hoja yako ni muungano wa mkataba kama wa Maalim au sio?
Ok shukrani lakini sasa hapo huoni unakiuka msimamo wa chamachako? Na huo msimamo wako si ndio ule wa ‘mkataba' wa Maalim.?
Warioba ni ccm lakini hajawahikusema yeye msimamo wake ni wa serikali 3, alichowakilisha ni maoni ya wananchilakini pia akasema siku ile bungeni kuwa kila mjumbe wa tume alibaki na itikadina imani yake kuhusu muungano kuwa kuna wanaoamini ktk S1, S2, S3 na hataMkataba. Na kama kila mtu ndani ya ccm ana mawazo yanayoheshimiwa mbona kakayangu Mh. Mansoor alisimamia ‘mkataba' mkamuadabisha?Chama changu kila mmoja ana mawazo yake na ndiyo maana saa hizi wengine wako bungeni wanalumbana kwa hoja. Wengine tunalumbana humu JF.
Warioba ni CCM asili na maoni yake zamani yalikuwa Serikali mbili, sasa tatu. Yuko huru, au Warioba siku hizi si CCM?
Cuf na mbinu zao chafu hawataweza kuichafua zanzibar kwa namna yoyote ile.
Unajua Zanzibar waandishi wa habari wakongwe wote ni PRO wa vyama vya siasa.
Ahmed Rajab, Hassan Khamis, Ali Saleh , pia akiambatana na huyu wa sasa wa Gazeti la Mwananchi Salma Said hao wote ni mfano wao!
So sio jambo la kushangaza kusikia akitoa tafsiri kama vile Kiswahili ni Lugha ya Family yake tu.
Ni sawa na huku Bara watu wanavolalamika waandishi wa habari wa magazet ya CCM.
Nimeshangaa pia kwamba analinganisha matusi Vs na kutishiwa mtu usalama wa maisha yake!
Ngoja nikajiridhishe kama haya aliyoyaandika huyu Ahmed ni sahihi kabla sijaandika mengi..
Ahmed anasema Kuwashughulikia maana yake ni kuwachukulia hatua zisizopendeza kama vile kuwatia ndani, kuwatesa au kuwafanyia mambo mengine ya kukirihisha.......
hii tafsiri sijui kaitoa wapi? kwa nini hakudhania kuwa kuwashughuikia maana yake kuhakikisha anawafikisha kwenye vyombo vya sheria?
Faiza, kauli ya karibu na "Kumshughulikia" ni kama kusema "kukabiliana nae au nao" au kwa lugha za wenzetu "Deal with"... kauli hii haina maana hizo tu ambazo ahmed anataka watu waamini kama kutesa, kutia ndani n.k.......
Kauli kama hii inapotolewa na watu walio na mamlaka za kidola huwa inatafsifiwa mara nyingi kama jitihada za kuhakikisha sheria inafuata mkondo wake na kutimiza wajibu wa kisheria kutokana na watu kukiuka au kwenda kinyume na sheria.......
Cuf na mbinu zao chafu hawataweza kuichafua zanzibar kwa namna yoyote ile.
Nawaomba waelewa wa protokali za zanzibar hasa kuhusu vyeo na madaraka (siniority) kati ya Maalim Shariff Hamad na Balozi Seif Idd. Nashindwa kuamini kama makamu wa pili anauwezo wa kimamlaka ya kumkemea makamu wa kwanza wa rais hadharani.
Unajua Zanzibar waandishi wa habari wakongwe wote ni PRO wa vyama vya siasa.
Ahmed Rajab, Hassan Khamis, Ali Saleh , pia akiambatana na huyu wa sasa wa Gazeti la Mwananchi Salma Said hao wote ni mfano wao!
So sio jambo la kushangaza kusikia akitoa tafsiri kama vile Kiswahili ni Lugha ya Family yake tu.
Ni sawa na huku Bara watu wanavolalamika waandishi wa habari wa magazet ya CCM.
Nimeshangaa pia kwamba analinganisha matusi Vs na kutishiwa mtu usalama wa maisha yake!
wazungu na masheikh wakitiwa Tindikali wazenji wanasema ni wabara ndio wanachafua utalii ila hapo leo kumeshaonesha mwanga kama wazenji wenyewe ndio hushiriki haya matendo.