asilimia kubwa ya makamanda wa jeshi la iraq ni suni na wako agaisnt serikali yao.wao wanalipwa kisiri na saudi arabia ili wawe wanatoa amri kwa vikosi vyao kuwakimbia ISIS.
Sasa deal linachezwa hivi,marekani wanawauzia silaha serikali ya iraq ili kupambana na ISIS.
Kisha marekani kwa ushirikiano na saud,wanawahonga makamanda wa iraq ambao wanapowaona isis wanawakimbia na kuwaachia silaha na hivyo ndo jamaa wanapata silaha.
hizo toyota ni made in USA,na zinawafikia ISIS kupitia mpaka wa uturuki na syria,kwani pia uturuki wako katika deal la kumpindua assad