Nani anasema Iran maskini?

Sasa unacho takiwa kujua ni kwamba Uchumi wa saudia ni mkubwa kuliko wa Uturuki.
 
Ww nchi yako kenya ambao hamjaingia mkenge wa dini ya waarabu mko wapi?

Mbona mnanuka umasikini na njaa.

Ww jamaa umejaa chuki sijui kwanini adimini wa form hii hakupigi ban maana ww ni mtu hatari kwa jamii iliyo sitaarabika.

Nimesema Iran wana akili sana, maana kwamba wanatuzidi hata sisi kwa akili, walijikanganya kuingia mkenge wa hiyo dini ya mwarabu ambayo yenyewe hufanya watu wanakua kama mazombi vile.
 
Sasa unacho takiwa kujua ni kwamba Uchumi wa saudia ni mkubwa kuliko wa Uturuki.

Hayo mazombi ya kidini hayana akili zaidi ya kutegemea mafuta ambayo mzungu ndio alitumia akili yake kuyagundua na kuzalisha, ila Iran wana vibrant economy ikiwemo service sector ambayo inahitaji matumizi ya akili, kwa kweli Iran wangekua mbali sana kama isingekua ujinga wa kidini sijui mayatollah na upuzi mwingine mwingi tu wa kidini.
 
Najua wengi sana humu hawakuelewi. Lakini uko sahihi

Pia vile vita vya Iraq [emoji1131] na Iran [emoji1130] vilichangia kuwarudisha sana nyuma. Vilichukuwa muda mrefu bila mshindi kupatikana. Na sasa vikwazo
 
Ww jamaa ume jaa chuki sana dhidi ya waarabu na uislamu inaonekana walikufanya kinyume na maumbile maana hii chuki ni kubwa mpaka kupitiliza.

Vipi kuhusu Malaysia , Indonesia na Uturuki ambazo zimeendelea kiviwanda na bado ni waislam?
Vip kuhusu UAE?

Unacho takiwa kutambua ni kuwa dini haujawahi kwa kigezo cha maendeleo ya nchi yeyote au mtu yeyote ,bali maendeleo huwa yanaletwa na sera nzuri ya nchi inayo kuwa imejiwekea na juhudi za mtu binafisi ,hilo ndio lita leta maendeleo kwa nchi yako na kwako binafisi na sio dini.

Mtu mwenye fikira kama zako ni mpumbavu na mwenye uwezo mdogo wa kufikiri.

Na ww ni mtu hatari sana kwa jamii iliyo sitaarabika na ninashangaa ni kwa nn uongozi wa jf umekuwa ukikufumbia macho hawakuchukulii hatua mtu uliye jaa chuki kupitiliza kama ww.

Narudia tena ww jamaa acha chuki maana chuki ni upumbavu ambao hauna faida yeyote zaidi ya kumuumiza aliye itunza kifuani mwake.

Anaye jua kesho yako ni mungu tu uzima usikupe kiburi cha namna hiyo kiasi cha kuona binadamu wenzako ni takataka na ww ni bora.
Jiifunze kumheshimu kila binadamu maana hujui ni nani atakuja kuwa msaada kwako au kwa watoto wako.

Acha chuki .
 
Najua wengi sana humu hawakuelewi. Lakini uko sahihi

Pia vile vita vya Iraq [emoji1131] na Iran [emoji1130] vilichangia kuwarudisha sana nyuma. Vilichukuwa muda mrefu bila mshindi kupatikana. Na sasa vikwazo
Yuko sahihi kivipi?

Dini na maendeleo ya nchi vina husiana vipi?
Kwa hiyo ukiwa muislam una katazwa kutafuta hela ili kufanya maendeleo yako?

Kwa hiyo DrMengi alikuwa tajiri kwa sababu ya ukristo wake, kama ni hivo kwann wakristo wote wasiwe matajiri?

Au Mo Dewji na Dangote ni matajiri kwa sababu ya uislamu wao kama ni hivyo kwa nn waislam wote wasiwe matajiri?

Mtu anaye husisha maendeleo na dini ni mpumbavu na mwenye uwezo mdogo wa kufikiri.

Na watu kama nyinyi ndio mnashinda kwenye makanisa ya kitapeli eti muombewe kuwa matajiri badala ya kufanya kazi.
 
Data hizo sitoziamini mpaka nione us au UK lakini pia hizo ni kwa tsh au dollar

Naona ni tuela tudogo sana
 

Hayo mataifa mengine hayakupokea hiyo dini kichwa kichwa, Iran tu ndio wamekua wajinga dini imewabeba kwa kutumia hayo mayatollah na maupuzi yote, ila sasa wananchi wa Iran wameliamsha, wanaendelea na maandamano nchi yote kupinga huo uzombi, baada ya mwanamke kuuawa kisa aliacha kipande cha nywele zake kuchomoza.
Wakipunguza uzombi wa kidini watakwenda mbali sana maana wenyewe wana akili, wako vizuri sio kama miarabu.
 
Wanategemea mafuta tu ila wameimarisha uchumi wao,

Wewe mwenye kila aina ya natural resources bado unahangaika kupata japo Ugali tu ili ujaze tumbo.
 
Binti ungetulia tu ili umalize kazi za Nyumbani ili usije achika kwa kushinda JF na kuhara humu hovyo,

Huna unalolijua,ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya.
 
Hiyo hela wanayodai Spain, ccm wenyewe wailipe toka kodi za majengo waliyopora wenye nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…