Pamoja na hayo hiyo si sababu muafaka ya kumilikishwa kifisadi. Kama kuna ufisadi ulifanyika kukwapua UDA basi wahusika wawajibishwe, lakini nchi yetu ilivyokithiri kwa rushwa na ufisadi hili nalo ni upepo tu litapita kama lilivyopita la wizi wa mabilioni ya Escrow na kugawiwa ndani ya Ikulu.