Sijaona ushujaa wowote labda km watz ni wajinga , ushujaa wa kula bata mjini huku akiwa na back up ya mzee wake!!hakuna kijana yeyote tanzania ambaye anaweza fanana na
Lemutuz
Lemutuz
jamaa ni shujaa ambaye hata story yake ya maisha naweza kuwa hadithia wanangu na nina hakika wataipenda
chukua maua yako Mkuu mungu akuweka mahali safi sana
mimi na wewe hatuwezi fikia hata nusu ya huwezo wa huyu jamaa MkuuHuwa munampa sifa Sana huyo jamaa aliyekulia nyumba ya mboga nne ugali robo
Sijaona ushujaa wowote labda km watz ni wajinga , ushujaa wa kula bata mjini huku akiwa na back up ya mzee wake!!
Pia anatajwa kuwa ni Njagu msela ..
Acheni akina Malcolm X wabaki na ushujaa ..Bongo michosho Sana.
Sawa Kaka lkn ukweli ubaki kuwa mzee wake hukumuacha asote ,Le mwenyewe aliamuwa kuishi maisha aliyochagua ,,hawezi kufanana na Mimi niliyepambana kubomoa nyumba ya nyasi ya mzee wangu ili kumjengea yenye nafuumimi na wewe hatuwezi fikia hata nusu ya huwezo wa huyu jamaa Mkuu
Aisee nimemsikiliza yule kaka kanishangaza🤔Katika jambo ambalo naona haliko sawa hadi leo ni suala la Kuanza kutaja madeni ya marehemu msibani kama kuna mtu anamdai why asiifate familia kumtunzia heshima marehemu?
Kwenye msiba wa Lemutuz yule Pinto anasema nyumba aliyokuwa anaishi lemutuz ni yake hata Gari noah alimuazima sio ya Lemutuz[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Why tunawavua nguo marehemu?
Sio utamaduni mzuri nadhani hili inabdi lipitiwe upya na kurekebishwaa.
Binafsi kuna msiba fulani wa Ndugu yangu jamaa wa karibu sana ambae kiukweli alisimama hadharani kuanza kutaja kiasi anachomdai Marehemu toka siku ile nilimshusha sana vyeo na kuona hajitambui maana kama familia angetufata sidhani kama tungekataaa.
Amekula wapi mboga 4? 😅 Aisee laiti ungejua hata hayo maisha hajayaonja kaishi Kwa tabu usingesema!Huwa munampa sifa Sana huyo jamaa aliyekulia nyumba ya mboga nne ugali robo
Sijaona ushujaa wowote labda km watz ni wajinga , ushujaa wa kula bata mjini huku akiwa na back up ya mzee wake!!
Pia anatajwa kuwa ni Njagu msela ..
Acheni akina Malcolm X wabaki na ushujaa ..Bongo michosho Sana.
Yani haina faida yoyote sababu hata angewafata ndugu private sidhani kama wangekataa..Aisee nimesikiliza yule kaka kanisjangaza
Hivi kulikuwa na haja gani ya kuongea yake pale Kwenye kadamnasi?
Mpk nikaona Kuna watu km 3 hivi wanamfuata km walikuwa wanamnong'oneza aache kuongea hivi ,aisee kanishangaza sn
Kuna muda huwa tunapishana na wazee halafu ukute mzee Ni mtata na anamkwanja anaamua kukupitisha kwenye tanuru la Moto ,akili ikitulia anaamua kukuinua ,,,Le ni kama vijana wa mjini tu aliyeamua kuishi maisha yake na mzee malecela akaamua kumuacha apendavyo...Kuna upande wa simulizi hatukupata scene.Amekula wapi? 😅 Aisee laiti ungekua hata hayo maisha hajayaonja kaishi Kwa tabu usingesema!
Haya mambo yasikie tu aisee
🤣Amesema ye mboga 4 , wakati ameishi maisha ya shida tu km sio mtt wa kiongozi . Na kutengwa na ndugu ,so sad[emoji3][emoji3][emoji3]Zile pisii alikuwa anakula kweli???
Kabisa ,wasingekataa sbb walikuwa wanajua maisha ya ndugu Yao!Yani haina faida yoyote sababu hata angewafata ndugu private sidhani kama wangekataa..
Yote yanawezekana, mkuu ..Kuna muda huwa tunapishana na wazee halafu ukute mzee Ni mtata na anamkwanja anaamua kukupitisha kwenye tanuru la Moto ,akili ikitulia anaamua kukuinua ,,,Le ni kama vijana wa mjini tu aliyeamua kuishi maisha yake na mzee malecela akaamua kumuacha apendavyo...Kuna upande wa simulizi hatukupata scene.
Unataka kijana afanane na mzee?hakuna kijana yeyote tanzania ambaye anaweza fanana na
Lemutuz
Lemutuz
jamaa ni shujaa ambaye hata story yake ya maisha naweza kuwa hadithia wanangu na nina hakika wataipenda
chukua maua yako Mkuu mungu akuweka mahali safi sana
Amesema ili kuku inspire, lakini life yake mpaka anaenda Belgium na US alikua na support kubwa sana ya baba yake. Mengine ni mizinguo yake na life style aliyoamua kuiishi🤣Amesema ye mboga 4 , wakati ameishi maisha ya shida tu km sio mtt wa kiongozi . Na kutengwa na ndugu ,so sad