Catherine
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,261
- 758
Niko nae hapa mbona?
Anakusalimia sana!
muonee huruma vin diesel, hadi anakonda kwaajili yako. Lol
Niko nae hapa mbona?
Anakusalimia sana!
Hahahaha atakuwa mchaga huyu eeh?
kama sio mkibosho, basi muorombo.
Nitatuliaje na wewe kutwa wani PM...ntaziweka hapa,ohooooo....
mke bado anakupenda huyo, hujui mtoto wa kike pozi zinahusu.
lara 1 yuko single shemeji. Si unacheki mtoto mashaallah? Atakufundisha kiswahili pia
duh...kama kile ndio kiswahili basi acha nibaki na kichaga changu....
Hahahahaha basi wewe umfundishe kichaga lol!
Heheheheh nikimuonea huruma na nitonye nae ataanza kukonda!
nitönye mwenyewe kashakukimbia, bora urudi kwa vin kerosene
zamu yake kukonda sasa...kama ulitaka kunifanyia diet bas umefanikiwa sana
Hahahahaha bado kitambi hakijayeyuka lol
Taratibu tu ataelewa
hebu soma threads zake ndio utaona namna hawezi....samaki kashakomaa na kukauka huyo
Sasa ubongo na mifupa vimeanza yeyuka...jamani
Hahahahah ukimkunja lazima avunjike vipande vitatu lol