Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

haya lara....!

mi nimenote apo kwen "tiririka"....

aafu na apo kwen "kubwa la maadui"....

nimepanote kwa msisitizo mkuu.....!

karibu pilsner na vodka kwa muungano wao...

Mi nakunywa APPLE MALTIZER. ila karibuni nataka nionje kitu cha SENETOR!!!!
 
naanza na naniliii

Sweetlady salute madame b pamojaaa mhhh wengine baaadaaee
 
lara 1 siwezi kuamini eti hujui jinsia yangu au ndo nshakua zombie lolest?

Kwa taarifa yako hapa jamvini nina wake wawili official AshaDii na gfsonwin mdogo wake.

Afu nina msiri wangu mwaJ na waalimu wangu Madame B na snowhite. Wapwa zangu kibao.

Nani kanuna?

Alienuna si yule HAWARA YAKO ------- ambae hujamtaja hapo, ngoja nikmfurumushe aje afumanie huku!!! Mwanaume Kama MSWATI!!!!!!! Kujilimbikizia wote hao wenzio wabaki na nani? Vibaya hivo, tena wengine wewe ZOMBIII lao!
 
Asprin! mi miss u, ananivutia kwa kila alichonacho, lol!

Eti cacico mpenzi umeniita nikuitike labeka au maneno ya wambea?

Najua unanimisi kama navokumisi lakini si wajua lazima nitimize ile ahadi ya kukununulia Landrover 109? Biashara ya vyuma chakavu bado haijashika kasi hapa Tora Bora. Na network inapatikana kwa shida huku. Hapa nimeazima ya Al Tawfiq ili nikusalimu.

Liwalo na liwe, lazima nitimize ahadi zangu kwako kama mwanaume. Ahadi zote.
 
Last edited by a moderator:

ha ha haaaa JF weeeeee....
me penda wote
maana wote mnahusika kunisaidia kupunguza maburnout...
 
Alienuna si yule HAWARA YAKO ------- ambae hujamtaja hapo, ngoja nikmfurumushe aje afumanie huku!!! Mwanaume Kama MSWATI!!!!!!! Kujilimbikizia wote hao wenzio wabaki na nani? Vibaya hivo, tena wengine wewe ZOMBIII lao!

Muhimu lara 1 umejua kama
Mi ni MWANAUME bhaaaaaaas!

Hao si wawili mbona sio wengi kwa standards za kisasa? Khaa of course hata kwa standards zako mazombie wanakuwaga wangapi? Jiulize
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom