Nani anajua taarifa za kesi hizi kuwa ziliisha vipi?

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Apr 18, 2013
1,167
402
wanajamvi, hapa ndo kitovu cha habari.naomba mwenye taarifa za kesi hz atujuze kuwa ziliishaje au zimefikia wapi.kwa sababu kesi zinapoanza kutajwa waandishi huwa wanatupa taarifa lakini mwisho wa kesi ni nadra sana kupewa mrejesho.kesi hz 1.MTOTO WA AMATUS LIYUMBA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA. 2.BASILI,PESA MBILI MLAMBA NA GRAY MGOJA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA. 3. EMMANUEL MBASHA 4.ABDALAH ZOMBE KUISHITAKI SERIKALI
 
Hiyo namba mbili Si ndio BEN MKAPA alienda kumtolea ushahidi kuwa huo uwamuzi ulipitishwa na baraza la mawaziri
 
Hii ni kuwa part two ya filamu imetoka kabla part one haijaisha. Kesi ya akina Mramba bado ipo nadhani ndio wanatoa utetezi na ndugu Mkapa ni shahidi wa utetezi/alishatoa ushahidi kusaidia ufisadi.
 
wanajamvi, hapa ndo kitovu cha habari.naomba mwenye taarifa za kesi hz atujuze kuwa ziliishaje au zimefikia wapi.kwa sababu kesi zinapoanza kutajwa waandishi huwa wanatupa taarifa lakini mwisho wa kesi ni nadra sana kupewa mrejesho.kesi hz 1.MTOTO WA AMATUS LIYUMBA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA. 2.BASILI,PESA MBILI MLAMBA NA GRAY MGOJA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA. 3. EMMANUEL MBASHA 4.ABDALAH ZOMBE KUISHITAKI SERIKALI

Wakati mnajadili haya msiwe mnasahau maumivu ya kung'olewa meno na kucha bila ganzi kule Mabwepande
 
hiyo kesi ya kwanza nami ningependa kuijua!!!! kujumlisha na ya mzee liyumba kukutwa na simu gerezani
 
Wenye Taarifa Msiwe Wachoyo Tupieni.

Kesi ya mtoto wa Liyumba anaelekea kushinda baada ya madawa ya kulevya kugeuka na kuonekana ni unga wa ngano uliochanganyika na wa mihogo. Hvyo hapo hakuna kesi tena. Mramba na kina Yona nikama kesi walishashinda kesi kutokana na ushahidi wa mzee Mkapa kumaliza kila kitu kwani Jk aliyepeleka hzo kesi mahakaman alikua sehemu ya baraza la mawaziri.
 
Back
Top Bottom