Shehe na Padri walikutana ndani ya ndege.
Padri: Karibu kitimoto
Shehe: Sisi Haturuhusiwi kula kitimoto.
Padri: Pole, mnakosa UTAMU.
Walipofika airport wakaagana
Shehe: Msalimie mkeo
Padri: Sisi haturuhusiwi kuoa,
Shehe: Pole, mnakosa UTAMU. NI Yupi kati yao anakosa UTAMU ZAID DUNIAN....!!!