Aisee mimi simfahamu hata mmoja hapo.
huwezi kuwafahamu kama si mfuatiliaji wa series.
Hao sio wadhungu pure bwana,kwa mf watatu hapo ni mchanganyiko wa wahindi wekundu na wazungu a.k.a brazilian and mexican bloods,na Kristine ni mfilipino.Tokea lini mzungu pure akawa mzuri ivo?loo atambe?Mimi wazungu hata hawanipi mzuka
Ni kweli kabisa mkuu.Sasa hao hawapo kwenye hizo series unazoangalia wewe,labda we si mpenzi wa love series ila unapenda action series.au siyo mkuu?
Huwezi kuwafahamu kama si mfuatiliaji wa series.