Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,216
- 3,692
Kama tunavyoifahamu CHADEMA ilianza muda mrefu tangu enzi za Mwenyekiti akiwa mzee Mtei, Bob Makani, Dk. Amani Kabuluu na wengineo wengi hadi kufikia Mwenyekiti wetu mzee Mbowe.
Kwa mujibu wa katiba na sheria muda wa mzee Mbowe utakapo karibia kustaafu nafasi ya Mwenyekiti kwa mujibu wa sheria hivi unadhani ni nani anafaa kuiongoza CHADEMA.
Mimi upande wangu namkubali sana Lissu awe Mwenyekiti wa chama baada ya Mbowe atakapostaafu siasa hivi karibuni kuachia kiti cha Mwenyekiti.
Je, wewe upande wako ni nani unampendekeza nafasi hii?