sijui kwanini bado watu tunaimani mbaya sana eti kunya anye ng'ombe mavi yake samadi, akinya nguruwe haramu lol! ingekuwa ukimwi unchagua tungesema sawa but as long as wote wawili wanaweza kuambukizwa basi ni hatari.
on the other hand, mwanaume anachance ndogo ya kupata maambukizi anapokutana na mwenye ukimwi for mara ya kwanza kama ata play safely ukilinganisha na mwanamke ambaye maumbile yetu yana tusubject kwenye risk kubwa ya maambukizi.