The King Ally Kiba fans' special thread,
Tujumuike hapa (11,191) »( ... Last Page)
Diamond Platinumz fans' special thread: Njooni
tukutane hapa (4,735) »( ... Last Page)
hata kwa hili inadhibitisha kuwa watu uwa wanamchoka mtu na kumshabikia mwingine na unavyo ona followers weng ndo ivoivo na kura sasa weng wanlalamika uku na awakumuunga mkono mwenzao
hizo ni posts tu ambazo wachangiaji walewale na wengine wanatoa hela watu wachangie. hujiulizi kwanini thread ya diamond ina viewers wengi zaidi?
viewers wengi inaonyesha watu wako interested na huyo msanii. katika posts 11,000 za kiba nusu ni zako Matola na atoto. na hata viewers nusu ni nyie watatu.Hivi kweli viewers ni wa kujivunia? Mtu mmoja anaweza kuutembelea huo uzi hata mara 50 kwa siku, huku upande mwingine unaweza kupata comments nyingi kutoka kwa watu wengi.
Kikubwa hapa ni kupima uzi una uhai gani? Majibu yako wazi.
Wameshinda kura nyingi ila bado wana wivu na Diamond sasa inajulikana kuwa bado tatizo nyotaaaaaaaaaa kumekucha
Haya twendeni kimataifa
********
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ilj ngia kwa link hii chini
http://mama.mtv.com/voting/
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
******************
Wote tuseme Kiba x 5 ( kwa team Mond mnaweza sema hata kimoyo moyo)
Ila kitu nimekuja kujua mashabiki wa Diamond wengi ni smart sana ila Kiba wengi kalagaBaho"madebe matupu
Kiba
Kiba
Kiba
Kiba
Kiba
Kiba 4real
Nikiangalia avatar yako plus maneno unayoandika,napata jibu flan hivi kichwan
Kiba
Kiba
Kiba
Kiba
Kiba
Kiba 4real