Ukiangalia mafanikio ya Kikwete na ya Mkapa kuhusu uchumiunaangalia chini kilindini na kasha juu kileleni au mbinguni. Serikali ya JKimefeli simple, imefeli kabisa kama ni sekondari imepata division zero, wakatiserikali ya Mzee Mkapa ilipata Division ONE, huenda sio pointi 7 kwa olevellakini ni ONE ya nguvu;
SUMAYE waziri mkuu mstaafu ikiwezekana ndo achukue mikobabased on history ainue uchumi kutoka mfumko wa bei 19.2% hadi 4% kamailivyokuwa wakati mkapa anasaliti nchi na kumpa mkataliwa wa Nyerere nchi,SUMAYE ndo anajua mkapa na yeye walifanya nini, tusifanye chuki na wivu tu,vile mkapa hawezi kurudi ni bora sasa PM wake achukue kazi hiyo.
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI NA SIFA ZAKE MPENI, mtukanyongwa bila kulia hata kufumba macho basi semeni jamaa alikuwa makakamavuhata kama ndo kisha nyungwa na kufa, usilazimishe eti alikuwa mwoga hapana,SUMAYE SASA OKOA TAIFA. Kupitia chama gani hiyo sio hoja.
Hata kama tukikubali kwamba Mkapa alifanya vizuri sana - kitu ambacho watafiti wengi hawakubaliani nacho, hususan ukiangalia uuzaji holela wa makampuni ya umma- bado utakutana na swali la jinsi Sumaye alivyopanda.
Rais Mkapa - na Kikwete katika kumtaja Pinda- wameonekana kutaka mawaziri wakuu watakaokuwa "Yes men". Wasio na spine, wasioweza kuwa challenge nearly as much as Joseph Warioba "challenged" Nyerere when the former was Nyerere's AG.
Sumaye hana distinction yoyote ya kuwa rais, na kama kuna mafanikio yoyote yaliyopatikana wakati wa Mkapa, wengine tunaweza kusema yametokana na vision ya Mkapa na Sumaye alikuwa stooge tu.
If you think Kikwete is bad, try Sumaye and see.
This is the guy who said he did not know why Tanzania is poor - much as Kikwete did the same to the chagrin of Bob Geldof and many others, including myself-, while he was the benefactor of a millions of shillings no collateral loan from NSSF.
Sumaye kawa mbunge, naibu Waziri, Waziri, na Waziri Mkuu kwa miaka nenda rudi. The moment nilivyomuona kwenye TV alivyokaa kwenye kiti kwa kutojiamini, faking an English public school educated pose while only managing to appear as trying to shrink to a corner of the seat drunkenly, I knew what Mkapa was going for, a scared and awed PM who wouldn't budge or advise but just do as he was told.In this aspect the Mkapa playbook proved successful since he did not change PMs in his reign, but Tanzanians suffered for lack of a serious policy brainstorm at the top level.
Is this the man you want for the presidency in a top down system like ours?
Is this the best we can do?