Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,583 Reaction score 27,838 Oct 7, 2017 #1 Je ni J.Muro au chadema ndo walioanza kutajana Majina na kushutumiana kwenye vyombo vya Habari? Na kuna ubaya Muro akijibu mapigo baada ya kushambuliwa?
Je ni J.Muro au chadema ndo walioanza kutajana Majina na kushutumiana kwenye vyombo vya Habari? Na kuna ubaya Muro akijibu mapigo baada ya kushambuliwa?
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,102 Reaction score 2,154 Oct 7, 2017 #2 Hawa kuna sinema wanatuchezea nyuma ya pazia.
tongs JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 539 Reaction score 942 Oct 7, 2017 #3 Maku asee daag,l maisha heavy, thread upupu upupu
Ciprofloxacin. JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 1,583 Reaction score 2,702 Oct 7, 2017 #4 Barbarosa said: Je ni J.Muro au chadema ndo walioanza kutajana Majina na kushutumiana kwenye vyombo vya Habari? Na kuna ubaya Muro akijibu mapigo baada ya kushambuliwa? Click to expand... Na kuna ubaya gani CHADEMA nayo ikijibu mapigo?
Barbarosa said: Je ni J.Muro au chadema ndo walioanza kutajana Majina na kushutumiana kwenye vyombo vya Habari? Na kuna ubaya Muro akijibu mapigo baada ya kushambuliwa? Click to expand... Na kuna ubaya gani CHADEMA nayo ikijibu mapigo?