Nani Alisema Kenya

Nginana

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
839
Reaction score
872
Hizi picha ni za mrembo mwanamitindo kutoka Kenya anayeitwa Ajuma Nasenyama ambaye kwa sasa ndio mwanamitindo wa Kiafrika anyetesa huko majuu.

Siku zote najiuliza swali: pamoja na kwamba black women are naturally more beautful than their caucasian counterparts, la kushangaza ni kwamba walio wengi hawajiamini. Wanajitahidi kutumia mikorogo hatari (skin lightening agents) na kufunga nywele bandia (wig) ili waonekana kama wale wa caucasian race! Nafikiri labda tatizo ni lack of self esteem. Au?

Lakini labda dada zetu wanaweza kutuambia kuna ulazima gani wa kutumia cream za ku-lighten ngozi, wig, hair relaxers, nk?
 

Attachments

  • Model Ajuma.jpg
    11.1 KB · Views: 260
  • ajuma4.jpg
    25.5 KB · Views: 206
  • ajuma6.jpg
    15.2 KB · Views: 185
  • ajuma_1.jpg
    50.3 KB · Views: 169
  • Ajuma.jpg
    15.2 KB · Views: 161
Sio kukosa kujiamini,ila ni namna ya kutafuta mwonekano tofautitofauti,labda tu wanaotumia chemicals kuharibu rangi zao za asili wanapaswa kukosolewa.but wenye kutumia wigs,makeups n.k ni kawaida kwa mwanamke anayejipenda.ila nampa hongera sana huyo model kwa kudumisha unatural wake.
 

Sijui, lakini huyo msichana sio mrembo bali ni muonyeshaji mitindo. Mwatima wangu ni beatiful kuliko huyo mwanamitindo!
 

hakuna kujipenda hapo, ni utumwa unawasumbua, izo wigi ni mfano wa nywele za nani kama sio za wakoloni??
watanzania wengi (watu weusi) hawajiamini na wanaamini mzungu ndo superior so wanavaa nywele za maiti na kujichubua ili wasionekane inferior wakiamini kuwa ni udhaifu kubakia na rangi na muonekano wa asili ya weusi. Yani badala ya kufanya matendo ya maana zaidi ya hao wazungu kuprove kuwa watu weusi nao ni wa maana nyie mnakimbilia kujibadilisha kufanana kuanzia rangi mpaka nywele na wazungu.
Kama ulikua hujui kwa taarifa yako anayetengeneza dawa ya nywele anajua dawa iyo itakata nywele akatengeneza weaving akijua pia weaving litazimaliza nywele zote na ukinyoa kipara utanunua wig la kupachika, inshort ni biashara ya mzunguko.
Watu weusi mnatukuza utumwa.
 
Hizi picha ni za mrembo mwanamitindo kutoka Kenya anayeitwa Ajuma Nasenyama ambaye kwa sasa ndio mwanamitindo wa Kiafrika anyetesa huko majuu.


Hii picha inafaa sana kwa kutishia watoto watundu.

Joking!!!

She is beautiful. Natural beauty. Nitajitupa Kenya karibuni nikajitwalie kimwana kama huyo.
 
wazungu wanatuchora=yaani huyo wana imagine kama yuko ZOO

attitude yako hii ni moja ya sifa ya kutokujiamini.
wanaojichubua na kunyoa nyusi zote na kuchorea mawanja nyusi ndefu mpaka maskioni kama chui ndo wanonekana kama wanyama wako zoo.
 

Mkuu mchambuzi nawe iyo avatar yako ila ipo kikoloni mbaya, nmewaza hadi nikakufanisha nahayo madada zetu yanayopenda kujichubua na miwanja yao kama ulivyoyasimanga,.kwan huko nako kuutukuza ukoloni mzee mzima.
 
Ninachoweza kusema ni kwamba,kama ni utumwa tu nafikiri ni jinsia zote ziko chini ya utumwa na sio wanawake pekee,nasema hivyo kwa sababu hebu niambie wewe unavaa shati na suruali au magome ya mti,unakunywa chai au vinywaji vya asili tu kama togwa?unaenda kanisani huendi?ulipokuwa ukisoma sekondari na other levels ulitumia lugha gani?kwanza wewe avatar yako tu inakusuta,hebu tuambie huyo ni nani hapo, ni black person au kama sio kutukuza wazungu ni nini?kwa ufupi ni kwamba karibu kila kitu ambacho waafrika wanafanya leo ni mazao ya hao wazungu,ni wachache sana ambao wanaendaleza tamaduni zao,kwa mfano kwa Tz wamasai.
 
Mkuu mchambuzi nawe iyo avatar yako ila ipo kikoloni mbaya, nmewaza hadi nikakufanisha nahayo madada zetu yanayopenda kujichubua na miwanja yao kama ulivyoyasimanga,.kwan huko nako kuutukuza ukoloni mzee mzima.
Miaaaaaaaaaaaaaa %.
 


swala la mabadiliko ya utaratibu wa ibada,lugha na mavazi ni swala ambalo haliepukiki kwa misingi ya maendeleo.
Mimi nachokimpinga ni baadhi ya africans wanapojaribu kumkosoa Mungu kwa ku-pimp miili yao kwa kuongeza yale ambayo hayakufanyika kwenye miili yao wakati wa uumbaji.
 
Kama uliniquote vizuri hapo mwanzoni nilisema tuwashangae wanochange colours zao,na hayo mengine i'ts jst part of searching for differents outlooks,kwa hiyo at least mambo mengi yafanywayo na waafrika ni ya kuiga kutoka huko,namaanisha both males and females.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…