Nane Nane Mkoa wa Ruvuma

Nane Nane Mkoa wa Ruvuma

Mbilikimo Mfupi

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2015
Posts
978
Reaction score
1,209
Wakuu, naomba kujua sherehe za nane nane mkoa wa Ruvuma zinafanyikia sehemu gani kwa mwaka huu?
Mwenye taarifa pliz anijuze
 
Zinafanyika viwanja vya nanenane barabara ya songea - Mbeya kituo kinachofuata baada ya mtazamo, but da mkuu hapanogi kweli Ruvuma ipo nyuma.
 
88 ni Arusha nimehudhuria kwenye mikoa mingine zinapoa sana eneo la maonyesho halizidi hata hatua kumi kama huko nyamhongolo Mwanza.
 
Back
Top Bottom