tungatagaga
JF-Expert Member
- Aug 18, 2024
- 652
- 876
Hapo mbeya si walikuwa wanajenga barabara imekuaje nazungumzia upanuzi wa barabaraNiko safarini ndani ya basi kutoka Mbeya kwenda Dar.Nimegundua vyashiria vikubwa vya ajali.
Chaashiria kwa Kwanza katika Barbara hii ni ufinyu wa barabara. Chaashiria kingine ni traffic ya malori yanayoenda na kutoka Dar.malori haya hukaribiana sana barabarani hivyo kuondoka uwezekano wa kuovertake kwa sababu barabara ni finyu.
Kulazimisha overtake si uzembe wa dreva ikiwa barabara haijafanyiwa maboresho muda mrefu na wakati huo basi Iko katika ratiba ya kurudi siku hiyo hiyo.
Endapo barabara hii ingepanuliwa ajali zinazosababisha na overtake zingekuwa mdogo sana
Sasa hivi namwona dreva wetu akiovertake kwa shida akidhani mbele yake ni gari Moja kumbe ziko tatu zimefuatana
Sasa hivi namwona dreva wetu akiovertake kwa shida akidhani mbele yake ni gari Moja kumbe ziko tatu zimefuatanaNiko safarini ndani ya basi kutoka Mbeya kwenda Dar.Nimegundua vyashiria vikubwa vya ajali.
Chaashiria kwa Kwanza katika Barbara hii ni ufinyu wa barabara. Chaashiria kingine ni traffic ya malori yanayoenda na kutoka Dar.malori haya hukaribiana sana barabarani hivyo kuondoka uwezekano wa kuovertake kwa sababu barabara ni finyu.
Kulazimisha overtake si uzembe wa dreva ikiwa barabara haijafanyiwa maboresho muda mrefu na wakati huo basi Iko katika ratiba ya kurudi siku hiyo hiyo.
Endapo barabara hii ingepanuliwa ajali zinazosababisha na overtake zingekuwa mdogo sana
Sasa hivi namwona dreva wetu akiovertake kwa shida akidhani mbele yake ni gari Moja kumbe ziko tatu zimefuatana
Atakuwa yuko vitonga huko pengineHapo mbeya si walikuwa wanajenga barabara imekuaje nazungumzia upanuzi wa barabara
Hiyo nayo ni "Chaashiria"Mkuu uandishi wako unaashiria ulikuwa ukiandika ukuwa hauko katika hali ya utulivu,inawezekana ni mtikisiko wa gari au haraka ya kuwahi kupost thread,embu sona kwa makini mwenyewe ulichoandika
Vitabu vya kusoma na kuandika vilikuwa havitoshi,mkuuKwani huko shuleni mlienda kusomea ujinga?jitahidi kuandika vizuri ili ujumbe wako ufikike vyema.
Hahaha kweli hishi nasho ni shaashiriaHiyo nayo ni "Chaashiria"
ok.Niko safarini ndani ya basi kutoka Mbeya kwenda Dar.Nimegundua vyashiria vikubwa vya ajali.
Chaashiria kwa Kwanza katika Barbara hii ni ufinyu wa barabara. Chaashiria kingine ni traffic ya malori yanayoenda na kutoka Dar.malori haya hukaribiana sana barabarani hivyo kuondoka uwezekano wa kuovertake kwa sababu barabara ni finyu.
Kulazimisha overtake si uzembe wa dreva ikiwa barabara haijafanyiwa maboresho muda mrefu na wakati huo basi Iko katika ratiba ya kurudi siku hiyo hiyo.
Endapo barabara hii ingepanuliwa ajali zinazosababisha na overtake zingekuwa mdogo sana
Sasa hivi namwona dreva wetu akiovertake kwa shida akidhani mbele yake ni gari Moja kumbe ziko tatu zimefuatana
Idiot!,wewe unizingatia sheria za ku better watch your backok.
pamoja na hayo ni vizuri zaidi kuzingatia sheria za usalama barabarani 🐒
Ameandika kifipa au bado amelewa msabe wa Makongorosi.Hiyo nayo ni "Chaashiria"
saa zingine ajali husababishwa na roho wabaya au roho wa mauti, mathalani usafiri pamoja na EvilSpirit kwenye basi moja kutoka Mbeya had Dar, unaweza kukosa ajali kweli?🐒Idiot!,wewe unizingatia sheria za ku better watch your back