Nancy Pelosi: Facebook inaongopea watu

Mziba

JF-Expert Member
Feb 7, 2010
245
109
Facebook Inadanganya Watu asema Pelosi. Spika wa bunge la Baraza la wawakilishi United States, ambae ni kiongozi wa tatu ngazi ya juu Marekani baada ya Rais, Makamu, kisha yeye. Kulingana na gazeti la Los Angeles Times May 30, Spika Nancy Pelosi alisema hayo kuhusiana na video yake iliofanyiwa udakitari (iliokarabatiwa) ikizungushwa kwenye mtandao wa fb. Aliongea kwamba kitendo cha kampuni ya Facebook kukataa kuiondoa video hio hata baada ya kudhihiri kua imeghushiwa ni dalili nyingine inayoonyesha kua Facebook Inadanganya Watu. Spika wa bunge la Baraza la wawakilishi United States, ambae ni kiongozi wa tatu ngazi ya juu Marekani baada ya Rais, Makamu, kisha anaefuatia ni yeye Spika. Kulingana na gazeti la Los Angeles Times May 30, Spika Nancy Pelosi alisema hayo kuhusiana na video yake iliofanyiwa udakitari (iliokarabatiwa) ikizungushwa kwenye mtandao. Aliongea kwamba kitendo cha kampuni ya Facebook kukataa kuiondoa video hio hata baada ya kudhihiri kua imeghushiwa ni dalili nyingine inayoonyesha kua video ilijua uwepo wa video za uongo zilizotumika wakati wa kampeni za 2016. Naamini picha yangu na za watu wengine zilifanyiwa udhalimu huu. Wameweka pesa mbele sana kuliko wateja. Mfumo wake wa biashara ni ulaghai. Jamii isihadaike.mika wakati wa kampeni za 2016. Naamini picha yangu na za watu wengine zilifanyiwa udhalimu huu. Wameweka pesa mbele sana kuliko wateja. Mfumo wake wa biashara ni ulaghai. Jamii isihadaike.
20190615_072736.jpeg
 
Facebook Inadanganya Watu asema Pelosi. Spika wa bunge la Baraza la wawakilishi United States, ambae ni kiongozi wa tatu ngazi ya juu Marekani baada ya Rais, Makamu, kisha yeye. Kulingana na gazeti la Los Angeles Times May 30, Spika Nancy Pelosi alisema hayo kuhusiana na video yake iliofanyiwa udakitari (iliokarabatiwa) ikizungushwa kwenye mtandao wa fb. Aliongea kwamba kitendo cha kampuni ya Facebook kukataa kuiondoa video hio hata baada ya kudhihiri kua imeghushiwa ni dalili nyingine inayoonyesha kua Facebook Inadanganya Watu. Spika wa bunge la Baraza la wawakilishi United States, ambae ni kiongozi wa tatu ngazi ya juu Marekani baada ya Rais, Makamu, kisha anaefuatia ni yeye Spika. Kulingana na gazeti la Los Angeles Times May 30, Spika Nancy Pelosi alisema hayo kuhusiana na video yake iliofanyiwa udakitari (iliokarabatiwa) ikizungushwa kwenye mtandao. Aliongea kwamba kitendo cha kampuni ya Facebook kukataa kuiondoa video hio hata baada ya kudhihiri kua imeghushiwa ni dalili nyingine inayoonyesha kua video ilijua uwepo wa video za uongo zilizotumika wakati wa kampeni za 2016. Naamini picha yangu na za watu wengine zilifanyiwa udhalimu huu. Wameweka pesa mbele sana kuliko wateja. Mfumo wake wa biashara ni ulaghai. Jamii isihadaike.mika wakati wa kampeni za 2016. Naamini picha yangu na za watu wengine zilifanyiwa udhalimu huu. Wameweka pesa mbele sana kuliko wateja. Mfumo wake wa biashara ni ulaghai. Jamii isihadaike.View attachment 1156444
Huyu pelosi kafanana na bi hillary Clinton balaa utadhan ni ndugu
 
Back
Top Bottom