Nanai Kawafundisha...?

Acheni kuwafundisha watoto tabia zisizokua na maadili yetu, sio kweli hawa watoto wamefanya kwa hiari yao
 
Mbaya zaidi tayari wamevuana nguo tayari kwa shughuri.
Nafikiria tu...!
 
Hiyo ndiyo pekee dhambi ya kwanza ya asili, nyingine zote utajifunza duniani wakati wa kuishi. Inayofuatia kwa karibu sana ni ubinafsi/uchoyo.
 
Swala la malezi ya watoto linamhitaji mungu zaidi maana kuna mtoto wa miaka tisa tu Tanga alivokuwa anakabaaaang watoto wenzie Mungu tu anajua... Mtoto anatoka home mzima kwnda kucheza akirudi nyumbani jion Hoi??
 
Shida ya kulala na watoto chumba kimoja eti, mnadoo wanaona na usikute ni ndugu hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…