Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,777
- 31,662
Habari waungwana toka mwaka huu uanze nan katikisa nchi upande wa siasa yaan nan habar ya mjin kwenye tv radio magazet na vijiwen awe mwanasiasa msanii au kiongiz wa din nan kawa mtamu kama mcharo upande wangu mimi naona ni zito kabwe maana anaonekana kumushambulia vilivyo ngosha mods naomba msifute huu uzi maana huwa mnapenda sana kufuta uz zangu