Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 198
Sijui ulichoandika hapaKama hauna maadili tukupeleke kufanyaje
Na wewe umekosa mchumba?Mmeamkaje? Katika siku kadhaa zilizopita Dada Ray C alimuomba JPM na serikali yake kuwa kuwe na sheria inayozuia urafiki kabla ya ndoa.Leo nimegundua aliona mbali sana.
Wapo mabint wengi wana rubuniwa na wanaume wazima na vijana wenzao pia.Wanaishi kwenye urafiki Kwa miaka huku jamaa wakiosha rungu na kujifuta miguu yao kwenye tambaa la mlangoni.[emoji35]
Matokeo yake mabint wanachakaa baada ya kufanywa sexual practice field wana be dumped na kukata tamaa na kuharibiwa ndoto zao[emoji35] [emoji35]
Hivyo endapo sheria hizi zitatungwa itakuwa muarobaini wa kilio cha Dada zetu wanaungua rohoni Kwa mateso.[emoji35]
Mabint ndo wanashida aisee. Wao ndo wanafuata wanaume kwa taarifa Yako. Ukitaka kichwa kiume we dili na wasichana. Wanaume mbona ndo waoga wa mapenzi ILA wanajikuta tu maana mabinti hawachi kujipitisha na kuvaa Kihasara ili tu apate boyfriend. Kifupi si wote wanaotaka kuolewa wakati huo wa kuanza mahusiano. So vijana wanajishindia tu kiulaini. Pia kampeni kuwa wadada wasikubali wakitongozwa iwe mpaka ndoa kwanza hapo utawaweza. Ukitongozwa si lazima ukubali maana wanaume wengine wanatania na kujifunza kutokeaMmeamkaje? Katika siku kadhaa zilizopita Dada Ray C alimuomba JPM na serikali yake kuwa kuwe na sheria inayozuia urafiki kabla ya ndoa.Leo nimegundua aliona mbali sana.