General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,317 Reaction score 23,192 Sep 2, 2018 #21 Kuna Mchizi alinifata na kunieleza kamkubali sana Dada angu. Nilivyo mcheki ni jamaa smart tu. Nikamwambia karibu. Dada alikuwa hamwelewi ila naona sasa mambo yao ni motooo!!
Kuna Mchizi alinifata na kunieleza kamkubali sana Dada angu. Nilivyo mcheki ni jamaa smart tu. Nikamwambia karibu. Dada alikuwa hamwelewi ila naona sasa mambo yao ni motooo!!
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,187 Reaction score 22,299 Sep 2, 2018 #22 Sipati picha Siku ukisikia analiwa SUMAKU itakuaje?