Sio Siri, Mimi nina sister simsifii kiukweli Mungu anajua kudesign.yaani we mtoto wa kiume umuonee wivu dada yako akiwa anatongozwa?
na vipi akiolewa si ndio utajinyonga kabisa
ila ni namna ya malezi uliyopata ndio yanasababisha hali uliyonayo
Asikwambie mtu sisNakumbuka kila wakisogelea geti au kunivizia walikula wanakula vipondo sana vipondo hasa na kwetu kulikuwa kuna gym basi wakaka ni mabaunsa haswa wamejazia, walikuwa wananiogopa vijana ila hao kaka zangu wanawake zao nawafahamu na wanakuja nashinda nao.
Shikamooni!!
Wajinga ndo waliwao.Jf wasalaam
Hivi mmewai kujiuliza inakuaje ukikuta dada yako kabanwa chobingo na msela/ mshikaji anampiga mistari, unahisi pumzi zimekata ndani na hali flani ya kumind mshikaji gafla inajitokeza???
Ila sisi tukiwa tunafukuzia dada za watu tunaona sawa tu, wakati mwingine tunakosa hata adabu kwa shemeji zetu.
Wenye madada leteni uzoefu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida najua ukiwaza mambo unayomfanyia demu kwenye 18 huwezi penda dada yako afanyiwe vile!.he heee lakin ndio nature maana shem.ndio anampa raha za dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utafurahi ukiona dada yako anapigwa mashine liveKwamba mambo unayomfanyia huyo unaemuita demu wako ni ya kikatili kiasi ambacho hupendi yamtokee dadako? Kama hivyo ndivyo mambo yalivyo basi sidhani kama hayo mambo yangefanyika.