Namuonea huruma mtoto huyu

Namuonea huruma mtoto huyu

Alha beiby

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
19
Reaction score
5
Namuonea huruma mtoto huyu, mke wa rafiki yangu kabeba mimba wakati anamtoto mchanga mwenye miez 4, ushauri afanye nini ili kumnusuru kichanga huyo.
 
Mke wa rafk yang kabeba mimba wakat ana mtot mchanga mwenye miez 4, ushaur afanye nin il kumnusur uyu hko kchanga
Huwa inatokea sana,muhimu mama ale vizuri na anaweza kuendelea kunyonyesha mpaka ujauzito ufike miezi saba ili kuacha nafasi ya maziwa ya mwanzoni yenye kinga kutengenezwa kwa ajili ya Mtoto mpya!Baba atoe ushirikiano wa kutosha kulea Mtoto maana mama anaweza kuchoka na kushindwa!kila la kheri kwao
 
Miezi saba sidhani kama ni sahihi.
 
Dah watajifunza next time kwenda kuelimishwa na uzazi wa mpango

Washauri waende hospital wakajuzwe lakufanya
Hapa miluzi mingi itampoteza mbwa njia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom