Namuonea huruma sana huyu waziri wa mambo ya nje ya Irani,mtu mpole,mtu mwema na aliyeelimika vizuri sana,maana atauawa hivi karibuni,natamani atoroke Iran
Namuonea huruma sana huyu waziri wa mambo ya nje ya Irani,mtu mpole,mtu mwema na aliyeelimika vizuri sana,maana atauawa hivi karibuni,natamani atoroke Iran
Taja Kiongozi mmoja wa Iran ambaye ameuawa akiwa amejificha kwenye handaki. Wote walikuwa ama kwenye majukumu Yao, ama walikuwa na familia zao nyumbani. Iran hawaogopi kifo. Ndiyo maana unawaona wakiendelea na maisha Yao huku wakiwasindikiza mashujaa wao mitaa ya Tehran katika safari zao za mwisho hapa Duniani.