Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

Huyo hapo
Tambwe ndio nani? Kwani ana undugu na Lokosa
Screenshot_20210203-011058.jpg
 
Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.

Mapovu ruksa!!
Kuna shida gan. Timu inafanya vzr pasipo yeye. TUMIA MUDA, AKILI NA NGUVU HII KUISAIDIA TEAM YAKO YA UTOPOLO DADA
 
Back
Top Bottom