Ohh....sasa huyo edga davis UCHWALA kafanya kazi gn?PENALTY:
Simba 5 - 4 Yanga
Timu yake imeshinda goli ngapi?Basi tufanye anaitwa hivyo, ila alichokifanya nadhani kimekuacha mdomo wazi.
Hakuna aliyekuwa na chembe ya shaka baada ya kukamilika kwa mtanange wa ngao ya hisani kuhusu Pappy.
Man of the Match Mkongomani Pappy Kabamba Tshishimbi anaonekana kuwa na damu yenye vina saba na mchezaji wa Taifa la Holand Edgar Davis.
Tutegemee tuzo ya mchezaji bora wa kigeni msimu wa 2017/18 kutua mikononi mwa Pappy K. Tshishimbi.
Huyu Jamaa anafanya kazi ambayo ilikuwa ikifanywa na wachezaji wawili wa msimu uliopita yaani (Niyonzima + Zullu).
Nisiongee sana ngoja nitafakari jinsi Dogo Gadiel MICHAEL alivyomuweka mfukoni Emmanuel A. Okwi.
Mkubwa jaribu kuwa serious kidogo,acha kumfananisha mwanadamu na msukule,kumfananisha Davis na Shishibaby ni dharau zilizopitiliza matokeo ya kipimo cha mkojo!
Yule jamaa anaujua mpira, kwa miaka mingi katika Ligi Kuu ya TZ (VPL) sijamwona mchezaji mwenye kiwango kikubwa kama Tshishimbi. Bahati mbaya yake tu umri umesogea, sijui alichelewa wapi, hastahili kucheza ligi hii.
Naona umeamua kutojibu swali, na kuleta historia.
Timu yake ndio Bingwa wa kihistoria mara 27 na mara 3 mfululizo.
au
Bingwa wa kihistoria wa Community Shield.
Pambana na hali yako