It seems like wewe ndo umeachwa na unajitahidi ku move on unashindwa tafuta sababu iliyokufanya ukaachwa jirekebishe mrudiane maisha yaendelee... Unampenda Mwaya
Hachoki sbb kwake its funny (nahisi) kunizingua.
Kumpotezea naweza.
Sitaki kumblock sbb nikifanya hivyo no yake itakua saved somewhere in my device na sitaki