Unani missunderstand kwa kila ninacho comment.
Mara uhisi niko hapa kutafuta bwana.
Anyway.ukweli ni kuwa nimejaribu kupata solution ya vipi naacha ujinga wa kumuogopa mtu kiasi nashindwa kumtamkia vitu ninavyotamani kumtamkia kwa sauti ya kumaanisha.Hivyo tu