Namtamani shemeji yangu

ha ha ha naona tunahamia kwenye ushemej sa hv thread ya tatu naiona leo inahusu manfongo tu
 
mpe pesa kama 3 million hivi zakusuka tu then mwambie l LOVE YOU naye atakujibu I LOVE TOO baada ya hapo mpeleke gesti mgonge alafu mteme
 
Mwanaume kanga naona unataka mkeo awe mwanamke suruali
 
Tunalichukulia neno UPENDO kwa wepesi sana, mbaya zaidi tunachanganya kutamani na kupenda.
 
Kuna wakati nawazaga kuwa yale yanayotutokea ni matokeo ya mambo yetu.
Umeshajaribu kuvuta picha uone kama ni wewe unaumwa halafu mkeo atoke na rafiki yako??? Hutakuwa mzima milele, na ambalo hupendi ufanyiwe kamwe usimtendee mwingine. Wote tuna mioyo ya nyama
 
Kaa mbali na hilo pepo la ngono ulilonalo,utaharibu kila ulichokijenga na mkeo kwa jambo dogo sana la kungonoka na ndugu yake
 
Unasema unataka kummiliki utamiliki wangapi, we huna mapenz hata kdgo mkeo anaumwa unawaza kumpata shemejio [emoji48][emoji48][emoji48]wazur hawaishi, Mkeo nimzuri zaidi ndo maana ukamweka ndani michepuko cyo
 
Bro achana na uyo shemela wa kichina...ujue ukimgonga tu...its either umechukua vvu au mkeo kakutema so choose the right way of not chasing her
 
Mbona unachanganya maada mkuu kichwa cha habari ......unamtamani.
Yaliyomo kwenye aya ya maandishi yako .... umempenda
Usitufanye watoo hebu sema moja umependa au unatamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…